Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne 🥂

Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne 🥂

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
 
Kuna mwanamke nilikua nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango,, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi. wacha tu_pop champagne [emoji898]
Mtasimulia sana
Mtafurahi sana
Mtasherehekea sana
Lakini ombeni yasiwakute...[emoji23][emoji1544][emoji1550]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanamke nilikua nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango,, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi. wacha tu_pop champagne 🍾
ukiona hivi ujue bado unampenda

ukiachana na Mtu akaanza kumuombea mabaya ujue yeye ndio alikua Ana control iyo relationships kwa kifupi wewe ulikua mtumwa wake
 
Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
Kwa muda huu ambao anajipanga atakurudia kwa muda na kukuacha tena akipata mpenzi wa moyo wake na sio wewe boya.
 
Back
Top Bottom