Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne šŸ„‚

Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne šŸ„‚

Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne šŸ¾
Ex akifanikiwa huwa inauma sana? Mbona mm naona poa tu ikiwa mmeachana kwa amani tu
 
Naungana na wote waliosema unampenda huyo mwanamke, mtu ukiachana naye unakuwa huna habari naye, afanikiwe poa, asifanikiwe sad, kwasababu ni binadamu kama wengine.
 
Mwanaume kufurahia anguko la demu huo ni udhaifu mkubwa sana alafu bado unampenda na huna nguvu ya ku popu shampeini
 
Back
Top Bottom