dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
serikali iweke Azuma vending machines kila kona ya Dom, hali ni tete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azuma itasaidia nn?Nakazia, na Azuma & PeP baada ya mechi
beba kibunda cha Azuma ukienda Dom
Ganda la mua la jana.....Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
ule usaha usaha kwenye dyudyu baada ya kulowekaAzuma itasaidia nn?
Mkuu kapicha japo kidogo 😊😅Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾