Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne πŸ₯‚

Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
Ganda la mua la jana.....
 
Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
Mkuu kapicha japo kidogo πŸ˜ŠπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…