Ex- kukupa ushauri hii ipo sawa?

Mbona Dunia inaenda kasi how come ex-wako anakushauri?

Au kumpa sikio ndiyo anajua ana mamlaka na Mimi anyway waga naskiliza na kuyaacha apo apo uliyoniambia.

Ungekuwa unaejitambua usingekuwa unanyanyua simu sijawahi kukutafuta mbona unanitafuta?
Penzi linavuja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…