Penzi linavuja....Mbona Dunia inaenda kasi how come ex-wako anakushauri?
Au kumpa sikio ndiyo anajua ana mamlaka na Mimi anyway waga naskiliza na kuyaacha apo apo uliyoniambia.
Ungekuwa unaejitambua usingekuwa unanyanyua simu sijawahi kukutafuta mbona unanitafuta?