Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
πππ Basi tulioAhahahahahaha hakuna shido..
Ila niliomba umalizie maana watu wataanza kutuona mafundi ni watu hovyo kumbe ni mafundi umeme au mafundi sofa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ Basi tulioAhahahahahaha hakuna shido..
Ila niliomba umalizie maana watu wataanza kutuona mafundi ni watu hovyo kumbe ni mafundi umeme au mafundi sofa...
Duuh!Report Yao tafadhali.NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
View attachment 3059619
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.
Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya "AUDITING" kwa kushirikiana na Bundi,taifa lingekuwa limetapeliwa na TRC chini ya Mkurugenzi wake Bwana KADOGOSA ambaye alisema Treni hizo zinatumia Umeme na Mafuta.
Lakini katika ukaguzi ukifanywa na NGEDERE na BUNDI kutoka ofisi ya CAG ofisi ndogo za Kidete
Bundi jana majira ya saa 2 kwenda saa 3 usiku, alifanikiwa kukaa Juu ya mti mrefu sana na Kuliona Treni la SGR likiwa linatoka Station ya Kilosa kuja Kidete.
BUNDI aliwasiliana na NGEDERE kwa haraka sana,kwa ajili ya ukaguzi wa kutizama "Value for Money" katika ununuzi wa Treni hizo ambazo Taifa liliambiwa zinatumia Umeme na Mafuta.
NGEDERE alifanikiwa kufyatua Nyaya za umeme pasipo kuharibu miundo mbinu ya TANESCO, na hatimaye umeme ukajizima na kurudi kituo cha kupooza umeme cha Godegode.
NGEDERE na BUNDI wanasema walishangazwa na Kuona Treni hiyo ya SGR kuganda kwa masaa 4 na nusu bila kuwasha mfumo wa Mafuta na kuendelea na Safari kuelekea Dodoma.
Wala siyo 2 na nusu kama wanavyosena TRC walivyosema jana
Wakitoa Ripoti ya Ukaguzi wa Treni za SGR NGEDERE amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuwa wadadisi kama wao na siyo Kukubali kila taarifa zinazotolewa na Serikali.
BUNDI naye aliongeza kwa kusema kuwa Kama tulilipa pesa ya Kununua Treni za Umeme na Mafuta na zikaja hizi ambazo Umeme ukikatika zinaganda kwakuwa hazina mfumo wa Mafuta basi TRC na Mzabuni aliyetuuzia Treni hizi za SGR arudishe chenji kwa Taifa kabla hatua za Kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.
Mwisho NGEDERE na BUNDI wamewataka Watumishi na Watendaji wa Serikali kuwa makini na kazi zao,kwakuwa ukaguzi huu wa Kushtukiza utaendelea katika miradi mbalimbali ya serikali mikubwa kwa ajili ya kulinda kodi za Watanzania ambao wamezubaa na hawajitambui.!!
Fundi michael ni legend wetu kwa sisi mafundi wote...Anaweza kuwa fundi michael.
Ahahahaha vijana hovyo kabisaπππ Basi tulio
WAzo zuri ila je kwanin Hawajafikilia kabla ya kuwΓ©ka mradi?Sio muda wa Kukejeli Mradi...tuwe na Uzalendo kama πΉπΏ πΉπΏ
Yawezekana Mazingira ya nchi yetu yakawa ni changamoto katika Kutekeleza mradi..
Hapa Nashauri Wasomi wa Vtuo Vikuu Animal Scientists; Ecologists kutoka vyuo vya SUA; udsm washirikishwe ni jinsi gani Wanaweza Kuzuia Hawa Wanyama kuletA Uaribifu kwenye Huo Mradi
Tuwe na Constructive ideas kuliko kuanzA kutoa Kejeli kuonesha kila kitu kinachofanyika basi hakina Manufaa..
Au kutaka Watu watumbuliwe..
Tupende kuwekeza kwenye Uchunguzi ( Investigation) na kuja na Ufumbuzi wa Matatizo yetu
Wewe unaweza ishauri serikali ya CCM ikasikia? Mimi kama Ngedere nilishauri yafuatayo hawakusikia.Sio muda wa Kukejeli Mradi...tuwe na Uzalendo kama πΉπΏ πΉπΏ
Yawezekana Mazingira ya nchi yetu yakawa ni changamoto katika Kutekeleza mradi..
Hapa Nashauri Wasomi wa Vtuo Vikuu Animal Scientists; Ecologists kutoka vyuo vya SUA; udsm washirikishwe ni jinsi gani Wanaweza Kuzuia Hawa Wanyama kuletA Uaribifu kwenye Huo Mradi
Tuwe na Constructive ideas kuliko kuanzA kutoa Kejeli kuonesha kila kitu kinachofanyika basi hakina Manufaa..
Au kutaka Watu watumbuliwe..
Tupende kuwekeza kwenye Uchunguzi ( Investigation) na kuja na Ufumbuzi wa Matatizo yetu
Khaa! baada ya kufanya uharibifu sasa umekuja JF!Wewe unaweza ishauri serikali ya CCM ikasikia? Mimi kama Ngedere nilishauri yafuatayo hawakusikia.
1.Kuwe na Substation maalumu ya kupower SGR lane ambayo ina autimatic Generators kama zile zinazotumiwa na mikoa ambayo haiko kwenye gridi ya taifa.Yaan umeme ukikatika genset inapick kupower generator.Wakasema itakua treni ya umeme na mafutaππ
Kwa kuweka pause peke yako bila "a partner in crimes bundikibundile"!Nimezingua wapi kaka
Bundi yupo huku mbona, kaka.Kwa kuweka pause peke yako bila "a partner in crimes bundikibundile"!
Na walipakodi wamekaa kimya tu
Ila nchi yangu Tanzania hakuna cha kutufanya tununeππππππ
Kwannπ€·π½ββοΈπIla nchi yangu Tanzania hakuna cha kutufanya tununeπππππ
Huyu ni kaka yetu,Kesho zamu ya BundiIla nchi yangu Tanzania hakuna cha kutufanya tununeππππππ
Mwambie mnaonekana wazushi kinoma kwa kulianzisha na kuibua queries!Bundi yupo huku mbona, kaka.