Ex-Mayor alivyoumizwa na tukio la Kukatika Umeme kwa treni, inaumiza sana sana

Duuh!Report Yao tafadhali.
 
WAzo zuri ila je kwanin Hawajafikilia kabla ya kuwΓ©ka mradi?
 
Wewe unaweza ishauri serikali ya CCM ikasikia? Mimi kama Ngedere nilishauri yafuatayo hawakusikia.

1.Kuwe na Substation maalumu ya kupower SGR lane ambayo ina autimatic Generators kama zile zinazotumiwa na mikoa ambayo haiko kwenye gridi ya taifa.Yaan umeme ukikatika genset inapick kupower generator.Wakasema itakua treni ya umeme na mafutaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Khaa! baada ya kufanya uharibifu sasa umekuja JF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…