mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Aku mi wa niniii
Pesaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aku mi wa niniii
Vibabu vinajua kazi nyie vijana mnalipua lipua :cool2::cool2::cool2:
Duh wazee wanajua kulea nasikia
Bila kumsahau babu yetu wenyewe aka bilionea..........yeye kapiga bao dabali kabisa
![]()
hehehe...ila mwanamke wa namna hii waga namdharau sijui kwa nini...sasa huu ni mchepuko au? huyu mangi alikua hana mke?
I can imagine kula denda na kibabu uwiiiiiiiiii..ntatapika..ts like m kissing my dad
Sometime pesa si kitu mana watu tunamiliki watoto wakali wakat hata buk tano kwa cku hatuioni
Future kwanza mapenzi badaye, hapana chezea pesa unafumba tu macho
Kwa kweli huyo binti ana moyo! Hivi haoni kinyaa kuwa intimate na hicho kibabu?
Hebu jenga taswira wanakulana denda, kibabu kinameza viagra au cialis, wanavua nguo....wanaanza kudadabuana....
I guess any trace of squeamishness on the girl's part is trumped by his billions!