Ex-Miss Nigeria uk, Dabota Lawson avalishwa pete na babu billionaire.

Kweli usipokua na hela, mademu wasuri wote utaishia kuwaita shemeji......
 
JINGA SANA...Sasa weweee babu unamjua? Unajua kutofautisha babu na mbaba?

Muache si kapenda....HATA km ni pesa, hata kama ni penzi haijalishi ilimradi kashapenda na ndio kavishwa..wewe yahuu??

Kulikuwa na ulazima wa kumuita mwenzio jinga?
 
JINGA SANA...Sasa weweee babu unamjua? Unajua kutofautisha babu na mbaba?

Muache si kapenda....HATA km ni pesa, hata kama ni penzi haijalishi ilimradi kashapenda na ndio kavishwa..wewe yahuu??

Ha ha ha!! Kweli Babu mwisho chalinze. Mtu anamiaka 60+ ni mbaba???? Kapenda kweli??? Acha upofu illuh
 
Last edited by a moderator:
Ndio kapenda kweli...hutaki?

Pengine babu anajua kupiga mashine vizuri.....Hujui kuwa wao walikula vyakula vizuri vyenye afya zaidi ya vijana wa sasa?

Ha ha ha!! Kweli Babu mwisho chalinze. Mtu anamiaka 60+ ni mbaba???? Kapenda kweli??? Acha upofu illuh
 
Ndio kapenda kweli...hutaki?

Pengine babu anajua kupiga mashine vizuri.....Hujui kuwa wao walikula vyakula vizuri vyenye afya zaidi ya vijana wa sasa?

Labda!!! huwezi juwa. Babu kwenye mtambaa wa panya analala nao. Mbona waendesha maguta na wauza magenge tena vijana mahandsome hatuwaoni hawa mamiss wakitoka nao? Inamaana upendo wao upo kwa wenye pesa tu hata kama ni maajuza umri lala salama???
 
mbona hata hapa Bongo nasikia yupo mmoja tena keshazalishwa watoto mapacha....ukiingia fb utamuona tu na vi-status vyake....ooooh! me n' three important men in my life...hahahaaa kazi kweli kweli.
Huyu hapa
 
Attachments

  • 1409761047869.jpg
    1409761047869.jpg
    26.4 KB · Views: 416
Kwelii ni babuu looo pesa mwanaharamu aisee
 
Hata Hoyce Temu aliolewa na libabu la zambia somebody sikutwa.....while she was at 20"s...ngoja nsake picha
 
Labda!!! huwezi juwa. Babu kwenye mtambaa wa panya analala nao. Mbona waendesha maguta na wauza magenge tena vijana mahandsome hatuwaoni hawa mamiss wakitoka nao? Inamaana upendo wao upo kwa wenye pesa tu hata kama ni maajuza umri lala salama???

Wanakwambia you better cry inside jivogu rather than on a bycycle....hehehee shida mbayaaaa
 
Ndio kapenda kweli...hutaki?

Pengine babu anajua kupiga mashine vizuri.....Hujui kuwa wao walikula vyakula vizuri vyenye afya zaidi ya vijana wa sasa?

Inawezekana pia,vjana wengi hatupgi game vzur due.to stress za maishaaa.na helaaa...ni shiidreeee
 
Sometime pesa si kitu mana watu tunamiliki watoto wakali wakat hata buk tano kwa cku hatuioni
 
Back
Top Bottom