tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Kweli usipokua na hela, mademu wasuri wote utaishia kuwaita shemeji......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JINGA SANA...Sasa weweee babu unamjua? Unajua kutofautisha babu na mbaba?
Muache si kapenda....HATA km ni pesa, hata kama ni penzi haijalishi ilimradi kashapenda na ndio kavishwa..wewe yahuu??
Hawa ki ukweli wanaendana endana. Kwa sababu mwanamke naye anaelekea kwenye ubibi
JINGA SANA...Sasa weweee babu unamjua? Unajua kutofautisha babu na mbaba?
Muache si kapenda....HATA km ni pesa, hata kama ni penzi haijalishi ilimradi kashapenda na ndio kavishwa..wewe yahuu??
Ndio kapenda kweli...hutaki?
Pengine babu anajua kupiga mashine vizuri.....Hujui kuwa wao walikula vyakula vizuri vyenye afya zaidi ya vijana wa sasa?
Huyu hapambona hata hapa Bongo nasikia yupo mmoja tena keshazalishwa watoto mapacha....ukiingia fb utamuona tu na vi-status vyake....ooooh! me n' three important men in my life...hahahaaa kazi kweli kweli.
Kwelii ni babuu looo pesa mwanaharamu aisee
Labda!!! huwezi juwa. Babu kwenye mtambaa wa panya analala nao. Mbona waendesha maguta na wauza magenge tena vijana mahandsome hatuwaoni hawa mamiss wakitoka nao? Inamaana upendo wao upo kwa wenye pesa tu hata kama ni maajuza umri lala salama???
Ndio kapenda kweli...hutaki?
Pengine babu anajua kupiga mashine vizuri.....Hujui kuwa wao walikula vyakula vizuri vyenye afya zaidi ya vijana wa sasa?
Nkutaftie jibabu lako?
Huyu hapa
hahahaha! mi simo
Weee........Mengi alikuwa anasoma ACCA mwaka 1967 na bibie Miss Tanzania 2001....wanaendana kivipi?
Pesa ndio sabuni ya roho...........