Ex-Miss Nigeria uk, Dabota Lawson avalishwa pete na babu billionaire.

I can imagine kula denda na kibabu uwiiiiiiiiii..ntatapika..ts like m kissing my dad
 
Vibabu vinajua kazi nyie vijana mnalipua lipua :cool2::cool2::cool2:
 
Kweli nimeamini Mwanaume pesa......sura na miaka nikuvumilia
 
Bila kumsahau babu yetu wenyewe aka bilionea..........yeye kapiga bao dabali kabisa


hehehe...ila mwanamke wa namna hii waga namdharau sijui kwa nini...sasa huu ni mchepuko au? huyu mangi alikua hana mke?
 
hehehe...ila mwanamke wa namna hii waga namdharau sijui kwa nini...sasa huu ni mchepuko au? huyu mangi alikua hana mke?

ana mke wa ndoa takatifu wametengana ila mzee anapenda vtoto huyu sema shigongi anamwogopa
 
Future kwanza mapenzi badaye, hapana chezea pesa unafumba tu macho
 
Sometime pesa si kitu mana watu tunamiliki watoto wakali wakat hata buk tano kwa cku hatuioni

Wanakusaidia wenye nazo mkuu, siunajua tena msaada juu ya tuta but km anakupa heshima gonga tu mkuu.
 
Future kwanza mapenzi badaye, hapana chezea pesa unafumba tu macho

Mbona masharo kibao tu siku hizi tunawaona club wanagongwa na vibabu, wanagongwa denda na vikongwa mzigo unaliwa hawatapiki wala nini, wanaishia kufakamia pombe za bei mbaya ka watoto wa mafisadi kumbe wanafadhiriwa na vibabu. Chezea mpunga weye.
 

Kibabu chenyewe mileage imeenda sana hatua mbili tu pindu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…