Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi
Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi ulimwenguni na hata kupelekea mahusiano yao kuwa maarufu sana
Hivi karibuni wapenzi hawa waliachana jambo lililopelekea kila mmoja wao kuishi maisha yake binafsi
Mwanadada huyu Euxodie ameamua kubadilisha muonekano wake upande wa mavazi hatua iliyomrudisha kwenye trend.
View attachment 2067250
View attachment 2067253
View attachment 2067254