Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie amekuja na muonekano mpya

Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie amekuja na muonekano mpya

Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi

Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi ulimwenguni na hata kupelekea mahusiano yao kuwa maarufu sana

Hivi karibuni wapenzi hawa waliachana jambo lililopelekea kila mmoja wao kuishi maisha yake binafsi

Mwanadada huyu Euxodie ameamua kubadilisha muonekano wake upande wa mavazi hatua iliyomrudisha kwenye trend.

View attachment 2067250

View attachment 2067253

View attachment 2067254
Madada wenye maumbo kama haya uwa mimi naona ni abnormal.
 
Back
Top Bottom