EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

ha ha ha we jipange tu andaa fungu ndoa za mastar zinajulikana, kutulia ndani kupika, kufua, usafi, kuzaa, kulea yataka moyo...yani habari za kuparty ziishe, kudanga byebye teh vilimshinda kwa ndikumana.

Nina wasiwasi Dogo atakuwa na biashara nje ya huu muziki tunaouona, kwa sababu kujimilikisha ule mzigo moja kwa moja nalo ni bonge la changamoto, hachelewi kwenda kudanga anakuacha home, ukileta ubishi unaambiwa hudumia.

Sijui kwa kweli ila namwombea mazuri, ingawa ningemshauri angekula tu na siyo mambo za kuoana.
 
Ha ha ha waache waoane
 
Kuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
Mi nadhani unaelewa vzr ila tabia yako ya kujifanya huelewi uache au unataka upate uhakika wa kile ulichoelewa!!
Msami baby London baby atatuambia....ni mababy boy hao.
 
Wanatofauti gn n wasafi baby
 
Bonge la gun/
You're my number 1/
Unanipaga mpaka mambo ya uani
Karibu kitani/
Nishanunua gun
Tuchane shuka kama manamba mashambani/

Haka kawimbo ka ngarenaro katamu sana sijui alimuimbia uwoya
 
Bonge la gun/
You're my number 1/
Unanipaga mpaka mambo ya uani
Karibu kitani/
Nishanunua gun
Tuchane shuka kama manamba mashambani/

Haka kawimbo ka ngarenaro katamu sana sijui alimuimbia uwoya
Mambo ya uani ndo yapi? Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…