EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

ha ha ha we jipange tu andaa fungu ndoa za mastar zinajulikana, kutulia ndani kupika, kufua, usafi, kuzaa, kulea yataka moyo...yani habari za kuparty ziishe, kudanga byebye teh vilimshinda kwa ndikumana.

Nina wasiwasi Dogo atakuwa na biashara nje ya huu muziki tunaouona, kwa sababu kujimilikisha ule mzigo moja kwa moja nalo ni bonge la changamoto, hachelewi kwenda kudanga anakuacha home, ukileta ubishi unaambiwa hudumia.

Sijui kwa kweli ila namwombea mazuri, ingawa ningemshauri angekula tu na siyo mambo za kuoana.
 
Ha ha ha waache waoane
 
Kuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
Mi nadhani unaelewa vzr ila tabia yako ya kujifanya huelewi uache au unataka upate uhakika wa kile ulichoelewa!!
Msami baby London baby atatuambia....ni mababy boy hao.
 
Celebrity forum cku hizi inakata stim.......kwani mkiandika mnapungukiwa nini.au mnazani wote tunamijihela ya bando?
Mnaboa bn ndo mana mnakosa ata wachangiaji na umbea umepungua ladha sababu hii......

Back to topic
Yan katika pipoz sizielewagi ni huyu msami baby......iv inakuaje mwanaume kujiita baby.
Wanatofauti gn n wasafi baby
 
Bonge la gun/
You're my number 1/
Unanipaga mpaka mambo ya uani
Karibu kitani/
Nishanunua gun
Tuchane shuka kama manamba mashambani/

Haka kawimbo ka ngarenaro katamu sana sijui alimuimbia uwoya
 
Bonge la gun/
You're my number 1/
Unanipaga mpaka mambo ya uani
Karibu kitani/
Nishanunua gun
Tuchane shuka kama manamba mashambani/

Haka kawimbo ka ngarenaro katamu sana sijui alimuimbia uwoya
Mambo ya uani ndo yapi? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom