Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
ha ha ha we jipange tu andaa fungu ndoa za mastar zinajulikana, kutulia ndani kupika, kufua, usafi, kuzaa, kulea yataka moyo...yani habari za kuparty ziishe, kudanga byebye teh vilimshinda kwa ndikumana.
Nina wasiwasi Dogo atakuwa na biashara nje ya huu muziki tunaouona, kwa sababu kujimilikisha ule mzigo moja kwa moja nalo ni bonge la changamoto, hachelewi kwenda kudanga anakuacha home, ukileta ubishi unaambiwa hudumia.
Sijui kwa kweli ila namwombea mazuri, ingawa ningemshauri angekula tu na siyo mambo za kuoana.