toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,566
- 3,234
Upo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much"
swali
1. Utaifafanua vipi hiyo issue?
2.Utachukua uamuzi gani?
3.Ni sawa yeye kufanya hivyo?
Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu
swali
1. Utaifafanua vipi hiyo issue?
2.Utachukua uamuzi gani?
3.Ni sawa yeye kufanya hivyo?
Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu