Ex wako anapost picha ya ex wake. Pagumu hapoUpo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much"
swali
1. Utaifafanua vipi hiyo issue?
2.Utachukua uamuzi gani?
3.Ni sawa yeye kufanya hivyo?
Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu
Daah,na upo naye tu?watu wengine sijui mapenzi yamewalogaUpo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much"
swali
1. Utaifafanua vipi hiyo issue?
2.Utachukua uamuzi gani?
3.Ni sawa yeye kufanya hivyo?
Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu
Hujakutana na Ex wangu wewe, aliniacha mazima ***** 😄hakuna mwanamke aliwahi fanikiwa kumwacha mazima x, kama yupo aje hapa
Nimemis stress za mapenzi natamani nimfumanie afu ni mmwagemapenzi bhnaa, kama haujawahi kuwa na stress jaribu kujitumbukiza humo... enewei,mkuu hapo kucut the stry short ni kwamba kiporo kimeshapashwa tena kwa moto wa chini na wajuu...IMEISHA IYOOO....
Upo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much"
swali
1. Utaifafanua vipi hiyo issue?
2.Utachukua uamuzi gani?
3.Ni sawa yeye kufanya hivyo?
Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu
Sio namna nyingine mkuudah hapa ni kuwa mpole tu.. kuangalia namna nyingine