mapenzi bhnaa, kama haujawahi kuwa na stress jaribu kujitumbukiza humo... enewei,mkuu hapo kucut the stry short ni kwamba kiporo kimeshapashwa tena kwa moto wa chini na wajuu...IMEISHA IYOOO....
ahsantee sana kumbe ni vizuri pia kutokuchukuaa uamuzi mapemaa kulaumu jambomkuu unaweza isiwe issue ya kuwa na mahusiano na X wake ila akawa anateswa na memories.....chukua muda wako kumsoma vizuri na kuspend time nayeye utamuwin tu maana inawezekana hiyo relationship yenu inamwezi tu ila huyo X wake walikuwa na kama 2years so jipe muda.... Turn her to be yours
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu jitahidi kwenda taratibu utawin upendo wake maana wengine wanakuwaga na relationship za miaka mingi so mazoea huwaletea shidaahsantee sana kumbe ni vizuri pia kutokuchukuaa uamuzi mapemaa kulaumu jambo
Naunga mkono hoja yako mkuu,maana binafsi kuna mmoja niliachana nae na alinitolea maneno yote mabaya,sasa yapata miaka sita tangu tuachane ila week hii amenitafuta na kuomba tuwe marafiki tu wa kawaida,nashindwa kumuelewahakuna mwanamke aliwahi fanikiwa kumwacha mazima x, kama yupo aje hapa
mkuu uko kama Mimi..dah hua sina uvumilivu kabisa kwenye habari hizi..