EX wako akipost picha yako na caption ya "I miss you so much"...

kuwa na mke aliyekwisha kuwa na wanaume zaidi ya kumi ni hatari kwa afya yako!
 
Ex wako anapost picha ya ex wake. Pagumu hapo
 
ex...atabaki kuwa ex tu....ata apost nini haiwezi kunifanya nimpe thamani...
 
Bro na wewe post ya x wako muwe even
 
Daah,na upo naye tu?watu wengine sijui mapenzi yamewaloga
 

Unaonekana ni mgeni sana na lugha za mabeberu


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…