EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Ooooh!pole sana kwa kumpoteza huyo jamaa
Pengine labda ningeendelea kuwa nae nisingetambua umuhimu wake,nisingejifunza,nisingejua kuvumiliana,kuchukuliana,kuwa na huruma kwa watu wengine,nisingejifunza tofauti ya watu,nisingekuwa na unysnyekevu na kuchukuliana,nisingemjua Mungu na matendo yake makuu(maana ndicho kipindi nilichoanza kusali na kufunga kwa juhudi zote)itoshe kusema nimejifunza mengi kwa kupigwa chini na kukutana na yule masta

Kila kitu hutokea kwa sababu Hicho ndicho naamini sana.kila wakati umebeba kusudi lake
 
Daah!,moyo wangu umekua mzito sana kumsahau kwa yale aliyoyafanya,binafsi unafiki siuwezi mwaka wa tatu huu nimeshindwa kumsamehe yule mwanamke,hapa naomba Mungu aniondolee hii roho ya kisasi maana naona nimebeba mzigo mzito sana moyoni.
 
Naomba aende msituni na jamaa yake, askari game tisa wawakamate, waanze kuwapelekea moto yeye na jamaa yake mpaka wakaribie kukata roho, wawahishwe hospitali wapone, jamaa ake awe shoga, demu anitafute anirudie, nimkamate nimgongee, na mimi nimuache, ***** sana yule muiraqw
 
We fala, tafuta hela qhumamae, wewe kazi kushinda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, unadhani utaacha kuachwa? humpi hela, humgi pampu mpaka akili imkae sawa, unadhani ataachaje kukuacha, ila pole mwanangu, niliwahi kuachwa niliona roho inataka kuacha mwili πŸ˜€
 
Mwana acha nitafute hela mwanangu.hawa wanawake sio kabisa yani.dah
 
Kuwaombea heri tu maana kuachana si kugombana, One man's trash is another man's treasure. Na kama wao wananiombea shari, kimpango wao.... dua la kuku halimpati mwewe. Potelea pote.....
 
Namuombea Mungu amlaze mahali pema, aliekua na uwezo wa kusimama popote pale na mbele ya mtu yeyote yule Na kujisifu Mimi ni mchumba wa kimadui na ninampenda Sana.
Japo aliniacha kipindi nmekolea kweli
Mwanga wa milele umpe e Bwana.
 
Mungu amtunze, awe na afya njema na baraka, awe na amani azungukwe na upendo.

Awe na mafanikio makubwa, akipata yeye naamini na mimi nimepata[emoji28]

Apate mke mwema watayeongea lugha moja.
Daah kuna wanawake wa maana duniani kama huyu
 
Me nilivyoachana nae tu hadi nikajikuta naanza kunena kwa lugha nikiwa kwenye maombi..n vile tu yule shetwan alinikamata!![emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulianguka dhambini?
 
Hata sikumbuki kama he still exist in this world sembuse kumuombea
 
Ma Ex wangu wote wawe na maisha mazuri. Kizuri zaidi nasaidiana nao ktk shida na raha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…