Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Itakuwaje?Halafu bwana bwana si imeisha!! Sasa itakuwaje? Hivi hakuna ya bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Itakuwaje?Halafu bwana bwana si imeisha!! Sasa itakuwaje? Hivi hakuna ya bure?
Hivi unajua nipo Sumbawanga eeh?No hard feelings yani, si nilikula wakati wangu bwana, waendelee wengine ni zamu yao.
Let them prosper yani, kwani wakifanikiwa mimi naumia nini.
Ila kina ex huyo akijichanganya tu napiga tena[emoji23][emoji23][emoji23](kidding)
Naona bwana shetani hataki kabisa maendeleo yangu. Nilikuwa nimeshajipanga kabisa yaani na kitu cha 70, ghafla imeyeyuka yoote[emoji2297][emoji2297][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Itakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivyo wife, bado nakupenda eti!Hivi unajua nipo Sumbawanga eeh?
Namlaani kwa sababu alikuwa anatuchanganya mimi na house boy wangu...yaani house boy wangu alikuwa anampiga pumbu yule mdada kwani alikuwa demu wake ila mimi nilikuja kujuwa baadaye baada ya mfanyakazi kwenda kwao kuoa. Simbariki kwa lolote kwani hana lolote la maana kwangu amenitia kichefuchefu tu, nililala naye tu kwa sababu alikuwa desperate kulala na mimi.Unamlaani?kwanini!
Unambariki?kwanini!
Ninambariki mno mno..nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani.
Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati ninauhitaji na kila mtu aliniacha(nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu huyu.
Twende kazi.
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
We endelea tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivyo wife, bado nakupenda eti!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Naona bwana shetani hataki kabisa maendeleo yangu. Nilikuwa nimeshajipanga kabisa yaani na kitu cha 70, ghafla imeyeyuka yoote[emoji2297][emoji2297]
Matumizi mabaya kabisa ya maombi kwakweli.Kwamba mdogo wangu umesahau makubaliano tuliyoweka?
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuombea EX[emoji2]
Hii roho umeitoa wapi shem! Muombee mema ili nawe ubarikiwe, kwani mlivyokuwa wote hukuenjoy nae?[emoji39][emoji39]Kwamba mdogo wangu umesahau makubaliano tuliyoweka?
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuombea EX[emoji2]
Roho ipi Shem? Ya kutowaombea?Hii roho umeitoa wapi shem! Muombee mema ili nawe ubarikiwe, kwani mlivyokuwa wote hukuenjoy nae?[emoji39][emoji39]
Hahhaa ex avunje geti kukuwekea shada eeh?Linapofikia suala la kuachana ni Wanawake wachache sana hukubaliana na hali. Wengi huishia kujenga visasi na Visa ikiwemo kutumia njia mbadala za Shirki ili kukutia adabu.
Mbarikiwe sana mnaoachana kwa amani na kututakia kheri. Kongole kwa luckyline , miss pablo , Chakorii , cocastic n.k nimeona mlivyoonesha ukomavu kwenye comments zenu[emoji122][emoji122][emoji123]
Kuna wakati tuna date sio kwa malengo ya kuanzisha familia na ndoa ila Ku have funny tu na kupata experience ya Tendo na Mitindo [emoji12]
Niwatakie maisha mema maX wote tuliohusiana.
Ingekuwa enzi zile za miaka 47 hakuna Homa ya Ini na maUkimwi tungekuwa tunapasha Kiporo. Ila kwa sababu hizo, tuendelee kuombeana Kheri tu.
Mkisikia nimekufa msiache kuja kuniwekea Mashada, hata kama itahusisha kuvunja geti la Home [emoji25]
[emoji38][emoji38][emoji38] kwa kweli hutaki unafikiRoho ipi Shem? Ya kutowaombea?
Shem.. Ikumbukwe mnaweza kuachana kwa sababu mbalimbali..
Mnaweza Kuachana kwa Makubaliano na Kwa Uzuri kabisa.. Huyu nitamuombea... Kuna yule mnaachana hadi mwenyewe ukikaa chini unasema afadhali limeniepuka na wengine wakajaribu.. Aina hii sitaki kuwa mnafiki.. Naomba niishie hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa HS..[emoji38][emoji38][emoji38] kwa kweli hutaki unafiki
Kuonesha kuwa tulikuwa pamoja kwenye uzima na mauti 😅Hahhaa ex avunje geti kukuwekea shada eeh?
Una ex mmoja babe Chakorii ?Unamlaani?kwanini!
Unambariki?kwanini!
Ninambariki mno mno..nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani.
Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati ninauhitaji na kila mtu aliniacha(nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu huyu.
Twende kazi.
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii roho sio poa kabisa!Roho ipi Shem? Ya kutowaombea?