Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Habari zenu wakuu.

Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika

Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao
Mkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?
 
Hapo lengo lako lilikuwa tu kusema kuwa wanawake wa jf wanajiuza kama wanavosemaga wanaume wengi humu huko kwingine kote umezunguruka tu
 
Mkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?
Ni zaidi ya 40 Million...
Boutique: location Zanzibar ndani ya hotel yenye minimum capacity 200 Pax (low season) na 700 pax (high season) .. Ipo siku Mwenyewe atakuja na ushuhuda wake maana anaufuatilia huu uzi vzr tu..
 
Hahaha kwa kweli hili ndio la muhimu atupe mbinu
Mkuu hakuna lisilowezekana kama una connection mzuri.. Tena marketing yake haina shida kwa sababu hafanyi yeye ndio kabisaaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…