Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahah!Ila mwanzoni alikuuzia kwa bei ghali mno, Milioni sita really??View attachment 2351545
Kijana wangu oa uwatukane wauzaji 🤣Tunashukuru mwenyekiti wetu kwa kupaza sauti
Kama wa kuwaoa ndio hao wafanyabiashara kwanini tusiendelee kuwa wateja tu😂😂Kijana wangu oa uwatukane wauzaji 🤣
Nimeshaoa mm ni vile nasubiri mbilinge za shemeji yenu zianze rasmiKama wa kuwaoa ndio hao wafanyabiashara kwanini tusiendelee kuwa wateja tu😂😂
Mkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?Habari zenu wakuu.
Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika
Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mwanzoni alikuuzia kwa bei ghali mno, Milioni sita really??View attachment 2351545
Mkuu huo mdomo wako kwenye avatar umewiana na jina lako la papuchi_kashimkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?
Hahaha kwa kweli hili ndio la muhimu atupe mbinuMkeo anafanya biashara gani?
Povu???😂🤣🤣🤣utajua ujuiPovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mimi umezeeka hadi na leo naniliiu imechoka kuvalishwa condoms oa acha umalaya na inatakiwa isuguliwe vizuri na brashi ngumu itoe magonjwaKumbe mtu mwenyewe ni wewe?
Tuliza kitumbua wewe dem
Ni zaidi ya 40 Million...Mkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?
Mkuu hakuna lisilowezekana kama una connection mzuri.. Tena marketing yake haina shida kwa sababu hafanyi yeye ndio kabisaaaa..Hahaha kwa kweli hili ndio la muhimu atupe mbinu
Tena ni kamba za kataniHizi kamba aise