Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Mbn Wauaji, na wanaobaka watoto tunawapost humu jF? Au wao huoni tunawadhalilisha?
Ushasema wauaji,lakini huyu hajaua mtu anafanya umalaya Kwa kiungo chake mwenyewe mkuu....umetongoza mtu humu mmeshindwana si vyema kutangaza madhaifu yake Wakati unajua nae atasoma kile ulichoandika.Hata kama za darasani huna bas tumia hata za kuzaliwa
 
Kwahyo mkuu wewe unaona umalaya ni sahihi kwa maadili ya kitanzania?
 
Watu wa jf punguzeni stress...!!!yaani mtu asijisifie Ana amani mnaomponda na kumtisha ,mmegundua wanadamu hawapendi wenzao waishi kwa furaha kabisaa !!
Jamani kwa Sasa he is living happy life with her family ,ya baadae It is uncertain!we live only once!!!
Don't hate appreciate!
Angesema hajapata mke mwemaa mngepondaa mwanzo mwengaa!
Punguzeni makasirikio nyie wanadamu!![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnadhani wana jf wote wa kike washenzi ?!!!poleni
Wapo wachamungu,waungwana na hao vivuruge pia!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini huwa hampendi kusikia kuwa mtu ana amani kwenye ndoa yake? Maisha ni vile wewe mwenyewe umeamua kuishi
Yaani nashangaaa Sana,humu Kuna watu Wana hasadi Sana!wanahisi kila mtu Ana magumu km yao while not at all...wanapenda story za huzuni tu kwenye ndoa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom