Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
[emoji23][emoji23][emoji23] kaka mkubwa kaona isiwe tabu, creativity tu ndio kitu inaitajika [emoji23][emoji23]Kuna harufu ya Promo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kaka mkubwa kaona isiwe tabu, creativity tu ndio kitu inaitajika [emoji23][emoji23]Kuna harufu ya Promo hapa
Mbona hata bikra wanaukimwi mkuu?Kipi bora...Aanikwe anune...Au Asianikwe ili aambukize UKIMWI wana MMU (watafuta wake)
Mbona unamtetea sana?😂Mbona hata bikra wanaukimwi mkuu?
Sipendi udhalilishaji mkuu,haileti faida kufanya ivoMbn unamtetea sana?😂
Mbn Wauaji, na wanaobaka watoto tunawapost humu jF? Au wao huoni tunawadhalilisha?Sipendi udhalilishaji mkuu,haileti faida kufanya ivo
Ushasema wauaji,lakini huyu hajaua mtu anafanya umalaya Kwa kiungo chake mwenyewe mkuu....umetongoza mtu humu mmeshindwana si vyema kutangaza madhaifu yake Wakati unajua nae atasoma kile ulichoandika.Hata kama za darasani huna bas tumia hata za kuzaliwaMbn Wauaji, na wanaobaka watoto tunawapost humu jF? Au wao huoni tunawadhalilisha?
Kwahyo mkuu wewe unaona umalaya ni sahihi kwa maadili ya kitanzania?Ushasema wauaji,lakini huyu hajaua mtu anafanya umalaya Kwa kiungo chake mwenyewe mkuu....umetongoza mtu humu mmeshindwana si vyema kutangaza madhaifu yake Wakati unajua nae atasoma kile ulichoandika.Hata kama za darasani huna bas tumia hata za kuzaliwa
Hayo ni maisha yake hatumii kiungo Cha mzazi wa mtuKwahyo mkuu wewe unaona umalaya ni sahihi kwa maadili ya kitanzania?
Kwa logic hii turuhusu madawa ya kulevya kwakuwa kinachoumia ni miilii ya watumiaji? Kwakuwa Hawatumii miili ya watu wengine kulewa?Hayo ni maisha yake hatumii kiungo Cha mzazi wa mtu
Ni sawa tu maana hatumii viungo vyakoKwa logic hii turuhusu madawa ya kulevya kwakuwa kinachoumia ni miilii ya watumiaji? Kwakuwa Hawatumii miili ya watu wengine kulewa?
🙆🙆Jeesus is Lord!Ni sawa tu maana hatumii viungo vyako
🤣Asante Kwa muda wako mkuu.🙏🤜🙆🙆Jeesus is Lord!
Nimependa picha ya wallpaper ya whasap Kaka angu Mimi !juba zuri mashallah
Yaani nashangaaa Sana,humu Kuna watu Wana hasadi Sana!wanahisi kila mtu Ana magumu km yao while not at all...wanapenda story za huzuni tu kwenye ndoaKwa nini huwa hampendi kusikia kuwa mtu ana amani kwenye ndoa yake? Maisha ni vile wewe mwenyewe umeamua kuishi
Wewe unaona ni kichambo sisi tunaona ni povu la omo tuache tufue tu.Okay hili sio povu la sabuni hili nila kichamboo halifui nguo linarekebisha malaya kama wewe