Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Mkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?
Mkewe ana biashara ya massage pale sinza, kila mteja ni 50,000/= ila baada ya kimfanyia mteja massage mkewe anajiongeza kwa dau la 200,000/=., na kwa siku ana wateja siyo chini ya 10. Upoo?
 
Leteni nguo chafu tufue povu la bure hili hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwenye shughuli hukunialika ilaa.. poa tu ingawa yangu nitakualika.😄
Mkuu huku ni kunikosea adabu, 😂 na uhakika asilimia 99 nilikualika mzee, kwenye uzi pale pale nilikutag.

We nialike tu nije kuuchapa mpunga
 
Kwa nini huwa hampendi kusikia kuwa mtu ana amani kwenye ndoa yake? Maisha ni vile wewe mwenyewe umeamua kuishi
Sio hatupendi kusikia suala ni kwamba sio lazima kukiwa na amani kwenye ndoa mtuambie kwasababu mi naona mnaigiza tu hata hao wanao uwana walikuwa wanapost wanapenda tena wana furaha na amani kumbe hamna kitu.
 
Wote kwa Pamoja Tusome Hii Reply kwa Umakini na Uelewa Mnaweza Kung'amua Kituu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…