wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Mkewe ana biashara ya massage pale sinza, kila mteja ni 50,000/= ila baada ya kimfanyia mteja massage mkewe anajiongeza kwa dau la 200,000/=., na kwa siku ana wateja siyo chini ya 10. Upoo?Mkuu hiyo biashara ya mkeo 4,000,000 baada ya miaka 3 imezaa 40M ni biashara gani na mm nikafanye?