Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Comrade One

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
200
Reaction score
361
Habari zenu wakuu.

Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika

Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2.

Hawa 2 nilitaka nipige kabisa ndoa woote 2 ila baadae nikaja gundua yule mmoja hakuwa na akili ya maisha zaidi ya starehe. Kwanini niligundua?

Niliwapa mtaji kila mtu 4 million afanye biashara anayotaka then me nitawakagua(kumbuka hawajuani), huyo mmoja ambaye hadi hv Sasa ndio mke wangu na nimezaa nae mtoto Tyr ile pesa niliyompa hadi hivi Sasa mizunguko wake unacheza kwenye 40 Million.

Huyo ex wangu ile pesa alipiga yote then nikamuongea 2 Million hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusema yeye anataka kuwa muigizaji, then nilikuja mwambia ukweli kuwa sitoweza endelea nae na sababu nikampa. Najua atasoma huu uzi ila potelea pote.

Sasa basi;Leo asubuhi Kuna rafiki yangu kanipigia simu yupo Dar kuwa yule Shemeji yangu kumbe anajiuza siku hizi? Nikamuuliza umethibitusha vp akasema Kuna agent wa kuuza wanawake kamueka status.

Nikamwambia nipe namba ya huyo agent, akanitumia nikamcheki na nikamtumia picha a kaniambia nimtumie 10K ili anipe namba. Nami nikafanya hivyo kweli a kanipa namba ila sio ile ambayo me nilikuwa naijua. Nilivyomcheki akanipa price yake kuwa 150K per night ila nimtumie picha yangu kwanza, nikamwambia let go whatsapp video call.

Hapo ndipo kizazaa kimekuja alivyoniona tu ni mm kaanza kuporomosha lawama kuwa me ndio nimesababisha iwe hivyo jambo hadi yeye kuwa anajiuza.

Niweke wazi: Nashukuru JF nimepata mke msikivu sana, mwelewa, mshauri mzuri na Mwenye kuheshimu Mume hadi Sasa ndoa yetu Ina amani sana siku tegemea kabisaaaa.

Ila kuweni Makini pia mijitu humu inajiuza..
 
Ila mwanzoni alikuuzia kwa bei ghali mno, Milioni sita really??
IMG_20220225_174933.jpg
 
Back
Top Bottom