Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Sijui nicheme au nichicheme nachema.
1.ulimpenda kushinda wengine ukaja kujua hana akili ya maisha .
2. Wewe ni malaya kama yeye bora anajiuza anapata chake wewe unachukuliwa hela na yeye eti mmeachana wapi .
Lione kwanza hujatulia huyu men mapepe.
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️ mnachosha
 
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356] mnachosha
Povu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijui nicheme au nichicheme nachema.
1.ulimpenda kushinda wengine ukaja kujua hana akili ya maisha .
2. Wewe ni malaya kama yeye bora anajiuza anapata chake wewe unachukuliwa hela na yeye eti mmeachana wapi .
Lione kwanza hujatulia huyu men mapepe.
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️ mnachosha
😁😁aroooo

Kwan kumove on ni sh ngapi?
 
Najitahidi kukilazimisha kichwa kuamini hii sio chai ila moyo hautaki.
Sijui
Screenshot_20220908_100903_com.whatsapp.w4b_edit_713739100781182.jpg
 
Habari zenu wakuu.

Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza

Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2.

Hawa 2 nilitaka nipige kabisa ndoa woote 2 ila baadae nikaja gundua yule mmoja hakuwa na akili ya maisha zaidi ya starehe. Kwanini niligundua?

Niliwapa mtaji kila mtu 4 million afanye biashara anayotaka then me nitawakagua(kumbuka hawajuani), huyo mmoja ambaye hadi hv Sasa ndio mke wangu na nimezaa nae mtoto Tyr ile pesa niliyompa hadi hivi Sasa mizunguko wake unacheza kwenye 40 Million.

Huyo ex wangu ile pesa alipiga yote then nikamuongea 2 Million hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusema yeye anataka kuwa muigizaji, then nilikuja mwambia ukweli kuwa sitoweza endelea nae na sababu nikampa. Najua atasoma huu uzi ila potelea pote.

Sasa basi;Leo asubuhi Kuna rafiki yangu kanipigia simu yupo Dar kuwa yule Shemeji yangu kumbe anajiuza siku hizi? Nikamuuliza umethibitusha vp akasema Kuna agent wa kuuza wanawake kamueka status.

Nikamwambia nipe namba ya huyo agent, akanitumia nikamcheki na nikamtumia picha a kaniambia nimtumie 10K ili anipe namba. Nami nikafanya hivyo kweli a kanipa namba ila sio ile ambayo me nilikuwa naijua. Nilivyomcheki akanipa price yake kuwa 150K per night ila nimtumie picha yangu kwanza, nikamwambia let go whatsapp video call.

Hapo ndipo kizazaa kimekuja alivyoniona tu ni mm kaanza kuporomosha lawama kuwa me ndio nimesababisha iwe hivyo jambo hadi yeye kuwa anajiuza.

Niweke wazi: Nashukuru JF nimepata mke msikivu sana, mwelewa, mshauri mzuri na Mwenye kuheshimu Mume hadi Sasa ndoa yetu Ina amani sana siku tegemea kabisaaaa.

Ila kuweni Makini pia mijitu humu inajiuza..
Tulia dogo mtoto mmoja tu kwenye ndoa hujafikisha hata miaka 5 wenzako waliishi pamoja miaka 10 ila sasa hivi wanapishana mahakamani huko if it's your enjoy your marriage life ila hii kutupiga kamba hapa kwamba mna amani doesn't make sense wenzako juzi wameuana dodoma walikuwa na watoto wanne.
 
Ni wao sio mimi na maisha hayafanani usikariri.
 
Sijui nicheme au nichicheme nachema.
1.ulimpenda kushinda wengine ukaja kujua hana akili ya maisha .
2. Wewe ni malaya kama yeye bora anajiuza anapata chake wewe unachukuliwa hela na yeye eti mmeachana wapi .
Lione kwanza hujatulia huyu men mapepe.
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️ mnachosha
Duuh!ndo ex mwenyew ninu?
 
Sijui nicheme au nichicheme nachema.
1.ulimpenda kushinda wengine ukaja kujua hana akili ya maisha .
2. Wewe ni malaya kama yeye bora anajiuza anapata chake wewe unachukuliwa hela na yeye eti mmeachana wapi .
Lione kwanza hujatulia huyu men mapepe.
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356] mnachosha
Kumbe mtu mwenyewe ni wewe?
Tuliza kitumbua wewe dem
 
Back
Top Bottom