Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu hapana mimi sina wivu na ww nimepata kazi now maisha safi[emoji1]

Nikamwambia ongera kwa kupata kazi lakni hiyo kazi yako hainihusu mimi na mimi sipo hapa kwaajili ya kukutambia kuhusu huyu demu wangu mpya ni shombe shombe wa kiarabu mtoto mzuri kuliko yeye ndio maana kapaniki ila mademu buana halafu cha ajabu ni kwamba naona kila nikiweka status anazifuatilia mno tena mda mwingine ananipiga majungu

Wakuu huyu ex vp maana simuelewi mienendo yake yaani kama bado hajamove on vizuri
 
Pale kenny ntanashati anapokutana na demu shombe shombe
 
Nakushangaa mtu unamwita ex halaf bado una namba yake. Ww una entertain ujinga
 
Anayokuambia huyo ex wako mimi sina shida nayo, ila kitendo cha wewe tu kuweka mtu wako status nadhani ndiyo shida ilipo (especially wewe ni mtoto wa kiume)!

Kua kwanza!
 

Umeshindwa kublock au kufuta namba yake !.tutolee utoto
 
umeshindwa kublock au kufuta namba yake !.tutolee utoto
Nina namba nyingi za ma ex na mimi najua ukiachana na mtu kuna maisha mengine sio ex anakuwa adui kuna ex wangu mmoja tumeachana ila ni msaada kwangu nikiwa shida ananisaidia kama rafiki

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…