Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu hapana mimi sina wivu na ww nimepata kazi now maisha safi[emoji1]

Nikamwambia ongera kwa kupata kazi lakni hiyo kazi yako hainihusu mimi na mimi sipo hapa kwaajili ya kukutambia kuhusu huyu demu wangu mpya ni shombe shombe wa kiarabu mtoto mzuri kuliko yeye ndio maana kapaniki ila mademu buana halafu cha ajabu ni kwamba naona kila nikiweka status anazifuatilia mno tena mda mwingine ananipiga majungu

Wakuu huyu ex vp maana simuelewi mienendo yake yaani kama bado hajamove on vizuri
Mzeye huyo bado anamiss mgegedo wako...wee mkaribishe gheto siku ule mbususu hiyo
 
Nenda bar mida hii, agiza bia za moto sita unywe na hivi kesho ni uhuruu [emoji4]
 
Pole sana hebu nitumie namba yake pm nimkanye asifanye ivyo.
 
Hebu tuone hizo status unazoweka.
Isije kuwa wewe ndy unamuanza na vistatus vya mjungu
 
Pipa na mfuniko.

Move on kijana no yake unayo ya nini sasa.

20211209_001405.jpg
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu hapana mimi sina wivu na ww nimepata kazi now maisha safi[emoji1]

Nikamwambia ongera kwa kupata kazi lakni hiyo kazi yako hainihusu mimi na mimi sipo hapa kwaajili ya kukutambia kuhusu huyu demu wangu mpya ni shombe shombe wa kiarabu mtoto mzuri kuliko yeye ndio maana kapaniki ila mademu buana halafu cha ajabu ni kwamba naona kila nikiweka status anazifuatilia mno tena mda mwingine ananipiga majungu

Wakuu huyu ex vp maana simuelewi mienendo yake yaani kama bado hajamove on vizuri

Wewe na ex wako ni watoto na utoto ndo unawasumbua. Mkikua mtaacha huo ujinga!
 
Bado mnapendana mnapata wapi ujasiri hata wa kuangalia status za ex wako
 
Back
Top Bottom