Ex wangu ananiwekea vijembe status

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe😀😀 but I can't go back

 
Usi view hizo status zake. Wait mpaka akutumie in box
 
Kwa hiyo mnapendana hadi mnashindwa kufuta namba zenu
? Mnapendana hadi mnafuatiliana status.
l
 
Ex wako ngese kweli kwahio kaachana na kibamia kapata mtu sahihi Bolilooo🤣🤣
 
Hapo ananisema Mimi niliempiga chini mara ya mwisho wakati tupo chuo.. hauhusiki hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…