Ex wangu ananiwekea vijembe status

Ex wangu ananiwekea vijembe status

😂😂 ndo walivyo ukifuta au ukiblock anakupigia simu anakuuliza kwann umeniblock ndo unipendi tena
Huyu alinitafuta mwaka mpya baada ya kumchukua block takriban miezi 4 akanicheki nomo call
 
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe[emoji3][emoji3] but I can't go back
Sasa una view za nini.
We ni sawa na fisi tu, iko sku utakula mzoga
 
we mmeachana namba ya x ya kazi gani? Au unamtaka?
 
Back
Top Bottom