BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Hii tabia wanayo single mazas,yaan ukimzalisha tu bila kumuoa ni vijembe kila siku status 😁Sipendi huo uswahili kuchambana chambana whatsapp, kama una lako mtumie muhusika, ni ushamba huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tabia wanayo single mazas,yaan ukimzalisha tu bila kumuoa ni vijembe kila siku status 😁Sipendi huo uswahili kuchambana chambana whatsapp, kama una lako mtumie muhusika, ni ushamba huo
Single and happy..... status za walioachwaHii tabia wanayo single mazas,yaan ukimzalisha tu bila kumuoa ni vijembe kila siku status 😁
Mbona unajiwekea ugumuuu. Huwezi ona kama huna namba yake.Hata nikifuta namba yeye hafuti unakuta anakutafuta unamuuliza nani haoni tabu kujitambulisha
Wakati vimejaaFuta namba usione, bado unafatilia status zake za nini? Au unamiss kitumbua?
Hapana hii ni ishara dem bado ana muwaza jamaa .mimi kama mimi namshauri awe ana view kama kawaida na asi post kitu chohote kitacho onekana kama ana mjibu .. apo ukute dem ka hide watu wote ana taka jamaa tu ndo aone [emoji16][emoji16]Futa namba usione, bado unafatilia status zake za nini? Au unamiss kitumbua?
Sasa asome vijembe ili iweje? Labda kama yupo interested na hayo mamboHapana hii ni ishara dem bado ana muwaza jamaa .mimi kama mimi namshauri awe ana view kama kawaida na asi post kitu chohote kitacho onekana kama ana mjibu .. apo ukute dem ka hide watu wote ana taka jamaa tu ndo aone [emoji16][emoji16]
🤔🤔Hata mimi nahisi hivyoHapana hii ni ishara dem bado ana muwaza jamaa .mimi kama mimi namshauri awe ana view kama kawaida na asi post kitu chohote kitacho onekana kama ana mjibu .. apo ukute dem ka hide watu wote ana taka jamaa tu ndo aone [emoji16][emoji16]
😂😂 ndo walivyo ukifuta au ukiblock anakupigia simu anakuuliza kwann umeniblock ndo unipendi tenaHata nikifuta namba yeye hafuti unakuta anakutafuta unamuuliza nani haoni tabu kujitambulisha