Ex wangu ananiwekea vijembe status

Ex wangu ananiwekea vijembe status

Saa kumi na Moja. The rest tumetumia huo mda kuzozana baada ya kumchana aache mambo ya kitoto na show off za kidwanzi😀 akadai namfatilia nikamwambia unaweka status unataka tusiview? Unamfaidisha nani🤣 kipigo kilivomielemea akakimbilia eti ni mblock Kama awali 😀😀 kwann nimemtoa kwenye block mwisho tukakubaliana kufuta namba za Kila mmoja
Siamini kama umefuta 😂
 
Wew ni KONYAGI yeye ni K~VANT...wote wawili ni vilevi kwa mwenzake!!futa namba,songa mbele AU save namba vumilia matukano
 
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe😀😀 but I can't go back
Tupia namba yake kwa wajumbe tumuulize kama uyasemayo ni ya kweli😂😂😂 usikute alikuwa na mwingine wakati akiwa na wewe🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom