Ex wangu ananiwekea vijembe status

Ex wangu ananiwekea vijembe status

Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe😀😀 but I can't go back
Sasa wewe namba ya ex wako umeiwek kwenye simu yako ya nini? Ifute ilo usione hizo status zake
 
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe[emoji3][emoji3] but I can't go back

Shida naona ipo kwako kwake. Ashakua X namba yake ya nn. Na yeye hawezi kuongea ya jana na anaetaka ya leo
 
😀😀😀ni hasira nakumbuka nilimuita x wangu shetani alichukua lakini alikuwa mshkaji wangu sana anajua nilivurugwa ila hayo ya status ni utoto😀
 
Back
Top Bottom