Ex wangu anataka niende kwenye harusi yake

Mturutumbi wa wapi😁
 
Siyo chai,yapo kweli,sema wwe labda hayajakukuta,ila hapa mwanaume ndiyo unatakiwa uwe na msimamo,japokua ukikataa atadiliki hata kukuuliza au siku hizi hausimamishi kama mwanzo!? Mradi tu akutie hasira ili ukampeleke moto kisawasawa!!
Yapo kweli ila hii yake ni chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…