Ex wangu nampenda ila kampa mimba mwanamke mwingine

Wewe ni moyo wako au akili yako inataka kipi?
Japo naamini kama mnavurugana then mnarudiana afu ana mwingine bado aNakukumbuka ujue huyo ni wako na wewe ni wake kule kwa mwingine ni Ulilazimisha aende huko pamoja na kutia mimba bado wewe ndo chaguo lake
 

Sasa hivi ndio tuna iyo Miaka kipindi ananiambia hivi tulikuwa na 23
 
Ningeweka hapa text zake sema ni kumchoresha jamaa na nimechokaa kuandika kila kitu
Nilichoandika hapo ndio unakirudia, hata aandike text gani sijui anataka umpe ChatGPT Logo au Operamini bado huo ni upande wake yeye. Wewe simama na upande wako.
 

Moyo wangu unampenda na akili yangu ina mtaka tatizo ni ameshaaribu tayari kuzaa na mwinginee ninaomba Mungu hata hiyo mimba isiwe ya kwake
 
Moyo wangu unampenda na akili yangu ina mtaka tatizo ni ameshaaribu tayari kuzaa na mwinginee ninaomba Mungu hata hiyo mimba isiwe ya kwake
Kama yupo na wewe huku akiwa na mwanamke mwengine tena mwenye mimba yake na sio siri unajua na bado sio tatizo wewe kuanae. Kifupi ni thamani imekwisha kwa huyo mwanaume na mwanaume mwengine yeyote atakuja kwako kwa nia njema.

Sasahivi una 25 kama ujajielewa mapema na kujiondoa kwenye hili tatizo utaoana jinsi miaka 29 inafika kwa haraka.
 
Nilipata first born wangu hivo hivo, michezo ya kitoto. Utoto mbaya sana. Watu hawaelewi kuna Mungu kabla ya maugomvi haya. Binti alijuta sana yule, alikataa mtoto akawaza ujana. Nikafanikiwa kupata mtoto the very time tumeachana , tunakuja kukutana tena, anataka kurudi na mimi nina mtoto. Hakuwa na uwezo wa maamuzi afanye vipi, akijileta napiga naacha, one night stand not staying anymore. Au awe siide chick milele.
 

 

Sawa nitasubiri Mungu alieniandalia huyu hakuwa wangu
 

Sawa mekupata
 
Kama anaishi na mwanamke mwingine achana naye
 
Kublock mtu ni sawa na kumuua kwa kutumia tofari la block, uzito ni ule ule, usije kufanya hivyo kwa mtu yeyote.

Badala ya kumblock, pokea simu yake kisha kama ni mpuuzi, mchane direct.
 
[emoji3][emoji3]ndio nampenda na nataka sana kuanza maisha na yeye sema naogopa sana wanawake wa siku hizi wanaroga asije akanipiga kipapai
Hakuna kitu kama hiko. Tena usiamini kabisa upuuzi huo...
Amini dini tu. Vipapai sijuwi nini ni kwa wajinga tu...
 
Kadogo2 mi nimeshakupenda sijui kwa nini anyway nimeona una upendo wa dhati ila ex wako kashindwa kuuona
Mkuu tatizo la mapenzi hufuata mkondo wa moyo wa mhusika, hayaendi kwa mfumo wa bidhaa.

Waweza mpendea sababu ulizozitaja hapa, lakini mkikutana naye live waweza usimpende, mapenzi yana vipengele vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…