Peleka hayo mashavu nayoona kwenye Avatar urudi na Kaswende na Miwaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka hayo mashavu nayoona kwenye Avatar urudi na Kaswende na Miwaya.
Habari za Ban mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha nzuri mkuu, habari yako?Habari za Ban mkuu?
Hahaha nzuri mkuu, habari yako?
Dar kwema kabisa, habari ya kigoma?Salama sana habari za Dar.
Kasie unataka kuhamishwa Dar?!?! Wasukuma wanavisasiMtoa mada wewe ni msukuma??!!
Dar kwema kabisa, habari ya kigoma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unikome tena unitake radhi siwezi kuishi mkoa ambao hauna choo.
Wee kijana za kuambiwa changanya na za kwakoKuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......
Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio inifanye niache kazi nirudi primary?
na wewe tutake radhi,sasa hivi,Wewe unikome tena unitake radhi siwezi kuishi mkoa ambao hauna choo.
Me simo.Kuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......
Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio inifanye niache kazi nirudi primary?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu
na wewe tutake radhi,sasa hivi,
kabla hatujakufikisha mbele ya braza K
Kwahyo kwenye comment zote huyo jamaa mwenye mashavu kama anapuliza moto hamjampa ushauri si ndio?? mnapiga tu stori, please jamani tuweni serious ndugu yetu asipotee
copy and paste kutoka instagram young d ndo kasema ivo,acha kusema uongoKuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......
Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio inifanye niache kazi nirudi primary?