Ex wangu.

Wewe unikome tena unitake radhi siwezi kuishi mkoa ambao hauna choo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu
 
Kuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......

Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio inifanye niache kazi nirudi primary?
Wee kijana za kuambiwa changanya na za kwako
labda kawapa 1B wakutafute, shutka.
 
Kuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......

Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio inifanye niache kazi nirudi primary?
Me simo.
 
Aisee kwanini hujaniulizia hata habari za Simiyu? Yaani naonekana wa Kigoma kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu
 
Kwahyo kwenye comment zote huyo jamaa mwenye mashavu kama anapuliza moto hamjampa ushauri si ndio?? mnapiga tu stori, please jamani tuweni serious ndugu yetu asipotee
 
Kuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......

Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio inifanye niache kazi nirudi primary?
copy and paste kutoka instagram young d ndo kasema ivo,acha kusema uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…