Exactly, alishindwa kufanya vetting. Hakuwa na mbinu za kivita.Lakini.....
Hadi wanafikia hatua hiyo, minaona shida ilianzia kwa mwanaume kuto kua na uwezo kutambua kama huyo ni mke wake ama anafunga ndoa na mke wa mwanaume mwingine.
Na kwamajibu hayo, niwazi mke alihitaji zaidi harusi kuliko ndoa.
Sijasema ni haki namaanisha kuwa ni ngumu kujua kama mwanaume amewahi lala na mwanamkeKwa akili hizi lazima kulea mtoto asiyewako, kumbe wanaume kuzini ni haki yenu kwakuwa wanawake hawawezi thibisha mmezini kabla ya ndoa
Sasa madam haha matusi mimi nimeongelea kwa wanaume juu ya wanawake.
Kama wewe unaweza kuthibitisha mume wake amewahi lala na mwanamke mwingine sawa kama ujawahi kumuona kwa macho .
Kama nyie mnaweza sawa.
Ilikuwaje mkuu tupe uzoefuIt's really sad, same thing happened to my friend.
Muhimu kitanda hakizai haramu
Nipo pale, tafuta huyo anayekupenda sana ufikiri hutakiona chamoto. Wanawake wanaendeshwa na hisia hivyo hubadilika kila kukicha. Akupende wewe sana kwani umemzaa[emoji23][emoji23][emoji23], acheni fairly tales.Haya ndo madhara ya kuoa mwanamke asiyekupenda, we unaforce tu.
Ukioa mwanamke aliyekupenda sana, hawezi leta mtoto wa nje.
Mkuu umeoa?Wewe umeoa unachepuka kwa nini mkeo naye asichepuke?
Akibadilika basi , unaachana naye.Nipo pale, tafuta huyo anayekupenda sana ufikiri hutakiona chamoto. Wanawake wanaendeshwa na hisia hivyo hubadilika kila kukicha. Akupende wewe sana kwani umemzaa[emoji23][emoji23][emoji23], acheni fairly tales.
Nimeoa ndugu yangu ila sasa ni kama tumeachana tu.Mkuu umeoa?
Mwana mke anaye kupenda unamjuaje? maana hata hao walio letewa watoto wa nje wali amini wanapendwa na hao wake zao.Ndoa sio laana. Inakuwa laana ikiwa mwanaume umekosea au hukufanya vetting. Everything is on your hands .
Ndoa inaweza kuwa biashara haramu kama ukioa mwanamke asiyekupenda. Kwa aliyekupenda hata ukiambiwa mahari million 3 tafuta toa.
Utapeli upo Hadi kwenye mahusiano ya kawaida. Na mara nyingi huu Utapeli tunautaka sisi wanaume maana mwanamke anakuonyesha kabisa tabia zake we unafumbia macho kisa shape yake na sura yake.
Hii kitu utakielewa kwenye stage ya mahusiano kabla ya ndoa.Mwana mke anaye kupenda unamjuaje? maana hata hao walio letewa watoto wa nje wali amini wanapendwa na hao wake zao.
Kivipi elezea mkuu.Hii kitu utakielewa kwenye stage ya mahusiano kabla ya ndoa.
Kuelezea ni ngumu maana ni complex sana. Na sababu ni kwamba wanawake hawafanani ila Kuna tabia moja tu wanayo in common.Kivipi elezea mkuu.
NAKAZIAKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Hivi Kuna watu Bado wanatesekea mapenzi!?Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?
Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.
Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.
View attachment 2771724
Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.
Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto?