Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mkuu naona unazidi kujiokotea points za bure😂KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona unazidi kujiokotea points za bure😂KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
huhamuzi wangu nitakaochukua ni kumshukuru Mungu kwa jaribu hilo,Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?
Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.
Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.
View attachment 2771724
Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.
Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto?