EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

Kuna mambo Ni vizuri kuacha kuyafuatilia Sana maana unaweza kuwa unajitafutia presha za bure tu.
 
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.

Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?

Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.

Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.

View attachment 2771724

Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.

Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto?
huhamuzi wangu nitakaochukua ni kumshukuru Mungu kwa jaribu hilo,
na kusonga mbele kwa bidii sana kusaka watoto walio wangu, kwa Neema na Baraka za Mungu.

Yaliyopita si ndwele naganga yajayo....
 
Back
Top Bottom