EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

Lakini.....
Hadi wanafikia hatua hiyo, minaona shida ilianzia kwa mwanaume kuto kua na uwezo kutambua kama huyo ni mke wake ama anafunga ndoa na mke wa mwanaume mwingine.
Na kwamajibu hayo, niwazi mke alihitaji zaidi harusi kuliko ndoa.
Exactly, alishindwa kufanya vetting. Hakuwa na mbinu za kivita.
 
Kwa akili hizi lazima kulea mtoto asiyewako, kumbe wanaume kuzini ni haki yenu kwakuwa wanawake hawawezi thibisha mmezini kabla ya ndoa
Sijasema ni haki namaanisha kuwa ni ngumu kujua kama mwanaume amewahi lala na mwanamke
 
Sasa madam haha matusi mimi nimeongelea kwa wanaume juu ya wanawake.
Kama wewe unaweza kuthibitisha mume wake amewahi lala na mwanamke mwingine sawa kama ujawahi kumuona kwa macho .

Kama nyie mnaweza sawa.

Kwenye mahusiano hadi ndoa hakuna mwanamke anayejali kama mwanaume wake ameshawahi kulala na mwanamke kabla yake

Kuhusu kuthibitisha utajua wewe na Mungu wako uliyemtaja hapo juu
 
It's really sad, same thing happened to my friend.
Muhimu kitanda hakizai haramu
 
Kuoa mwanamke ambae wahuni wameshamburuza vya kutosha ni kujitafutia lawama tu, chance ya kuburuzwa tena ipo hata kama ameolewa.
 
Haya ndo madhara ya kuoa mwanamke asiyekupenda, we unaforce tu.

Ukioa mwanamke aliyekupenda sana, hawezi leta mtoto wa nje.
Nipo pale, tafuta huyo anayekupenda sana ufikiri hutakiona chamoto. Wanawake wanaendeshwa na hisia hivyo hubadilika kila kukicha. Akupende wewe sana kwani umemzaa[emoji23][emoji23][emoji23], acheni fairly tales.
 
Hivi mpaka leo watoto ni kitu cha kuweka mashaka awe wako asiwe wako lea ukijua sio muache aende kwa baba yake ukiwa na misimamo yako hayo mambo hayasumbui
 
Nipo pale, tafuta huyo anayekupenda sana ufikiri hutakiona chamoto. Wanawake wanaendeshwa na hisia hivyo hubadilika kila kukicha. Akupende wewe sana kwani umemzaa[emoji23][emoji23][emoji23], acheni fairly tales.
Akibadilika basi , unaachana naye.
Mbona simple tu.

Tatizo mnaishi kwa kuogopa na kutojiamini. Mnaachana kwa wema, maisha yanasonga, na urafiki unakufa hapohapo. End of discussion, ila mkikutana mnasalimiana , hakuna maneno mengi, unapita hivi unaendelea na mambo yako. Wewe ni wa thamani na thamani ya mwanaume inaongezeka kila siku hata kama huna kitu, unajiupgrade , unaweka malengo, unafika maeneo fulan hivi.
 
Ndoa sio laana. Inakuwa laana ikiwa mwanaume umekosea au hukufanya vetting. Everything is on your hands .

Ndoa inaweza kuwa biashara haramu kama ukioa mwanamke asiyekupenda. Kwa aliyekupenda hata ukiambiwa mahari million 3 tafuta toa.

Utapeli upo Hadi kwenye mahusiano ya kawaida. Na mara nyingi huu Utapeli tunautaka sisi wanaume maana mwanamke anakuonyesha kabisa tabia zake we unafumbia macho kisa shape yake na sura yake.
Mwana mke anaye kupenda unamjuaje? maana hata hao walio letewa watoto wa nje wali amini wanapendwa na hao wake zao.
 
Mwana mke anaye kupenda unamjuaje? maana hata hao walio letewa watoto wa nje wali amini wanapendwa na hao wake zao.
Hii kitu utakielewa kwenye stage ya mahusiano kabla ya ndoa.
 
Kivipi elezea mkuu.
Kuelezea ni ngumu maana ni complex sana. Na sababu ni kwamba wanawake hawafanani ila Kuna tabia moja tu wanayo in common.

Mwanamke anayekupenda utamjua wakati una shida au financial ruin. Asiyekupenda hatakuvumilia kwenye stage hiyo.
 
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.

Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?

Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.

Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.

View attachment 2771724

Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.

Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto?
Hivi Kuna watu Bado wanatesekea mapenzi!?
 
Back
Top Bottom