EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

Huyo siyo mwanamke ni kichaa, sasa usitake tuache amini wake zetu sababu ya huyo kichaa.
 
Haya ndo madhara ya kuoa mwanamke asiyekupenda, we unaforce tu.

Ukioa mwanamke aliyekupenda sana, hawezi leta mtoto wa nje.

Unaishi wapi?????? Jupiter? Mimi nangoja wangu afike 18 tu mwaka wa kwanza chuo nikapime DNA, nimewacha tu asome kwa amani, nitimize wajibu wangu, ila nahisi ndivyo sivyo.
 
Yani unangoja miaka 18 ipite?
 
Nadhani kila mmoja huwa anaingia kwenye mahusiano akiwa na sababu zake binafsi. Matokeo yake ndo kulea watoto wa mwanaume mwingine na blaa blaa nyingi.
 
Unaishi wapi?????? Jupiter? Mimi nangoja wangu afike 18 tu mwaka wa kwanza chuo nikapime DNA, nimewacha tu asome kwa amani, nitimize wajibu wangu, ila nahisi ndivyo sivyo.
Kwani hamfanani?
Vipi tabia? Sisemi tabia mbaya au nzuri, kuna zile common.
 
Unaishi wapi?????? Jupiter? Mimi nangoja wangu afike 18 tu mwaka wa kwanza chuo nikapime DNA, nimewacha tu asome kwa amani, nitimize wajibu wangu, ila nahisi ndivyo sivyo.
Naishi Earth mkuu.
 
Nadhani kila mmoja huwa anaingia kwenye mahusiano akiwa na sababu zake binafsi. Matokeo yake ndo kulea watoto wa mwanaume mwingine na blaa blaa nyingi.
Hivi ukimini ni wanao, ukawalea kwa upendo, wanakupenda na unawapenda kuna madhara?
DNA mnajitakia sumu za bure
 
Yeah madhara yapo mbeleni na nimeyaona: watoto wakishajua kuwa aliyewalea si baba yao basi watahangaika kutafuta asili yao alafu cha ajabu watamjali huyo ambaye hakuwalea alafu huyu mwingine aliyetoa jasho na damu wanamtupa. Ni watoto wachache sana wanakumbuka fadhila.

So DNA kama kuna mtu anataka apime, mi nashauri akapime tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…