Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Madarasa yanaendelea kila jumatatu, mwenye uhitaji anawezafika ofisini kwetu na tutampa utaratibu, na kama una kampuni unataka wafanyakazi wako wapewe ujuzi zaidi kwenye nyanja hii unakaribishwa pia.
Karibuni sana
 
Mm nahitaji mwenye kujua BPC in ERP app awasiliane na mm as soon as possible!
BPC stands for Budget Planning and Consolidation ambapo BW anakuletea data kwenye excel through ERP
Mm najua version 7 ya WN lkn naona wametoa version ya 10.1
Nani anayo hii version mpya?Hii mpya unaanzia Milion 12 mshahara
 
Asante sana ndugu "Malafyale" hicho kitu unachokiongelea kinaweza fanyika vizuri kwa kutumia SAP, na sijajua kama hii software unaitaji wewe au kampuni? na mwisho umemalizia mshahara ndo sijaelewa una maana gani nudgu?.
Tuwasiliane kwa maelezo mengine:
Call: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana.
 
Mkuu we unaifahamu SAP vizuri, namaanisha MM, PM, FICO. Mie Nina uelewa kidogo na MM, hasa report zake, mfano, zmmhist, zmmm01, mb51,mb52, zmmmoaupload, Migogr 101,107,109. Me2m,me2n, me21n,23,22, me47. Nikihitaji kujifunza mfano PM mnaweza kunielekeza.
 
Mm nahitaji mwenye kujua BPC in ERP app awasiliane na mm as soon as possible!
BPC stands for Budget Planning and Consolidation ambapo BW anakuletea data kwenye excel through ERP
Mm najua version 7 ya WN lkn naona wametoa version ya 10.1
Nani anayo hii version mpya?Hii mpya unaanzia Milion 12 mshahara
Malafyale, kama sijakosea ERP packages zipo kama tano , yaani SAP, BAN, Oracle, JD , people soft. Hizo ndio kubwa, hapo na ndogo zipo mfano. Ms dynamic, mainpac, pronto, sun, emesa n.k.

ERP app ipi unayoimaanisha hapa.
 
Mkuu we unaifahamu SAP vizuri, namaanisha MM, PM, FICO. Mie Nina uelewa kidogo na MM, hasa report zake, mfano, zmmhist, zmmm01, mb51,mb52, zmmmoaupload, Migogr 101,107,109. Me2m,me2n, me21n,23,22, me47. Nikihitaji kujifunza mfano PM mnaweza kunielekeza.
Mkuu tuwasiliane, twaweza fanya kitu kikubwa baada ya hapa.
Karibu sana.
 
Malafyale, kama sijakosea ERP packages zipo kama tano , yaani SAP, BAN, Oracle, JD , people soft. Hizo ndio kubwa, hapo na ndogo zipo mfano. Ms dynamic, mainpac, pronto, sun, emesa n.k.

ERP app ipi unayoimaanisha hapa.
Nahitaji SAP BPC
Version 10.1
Nimeona India wanauza kwa dola 2000
 
Madarasa yanaendelea kila jumatatu, mwenye uhitaji anawezafika ofisini kwetu na tutampa utaratibu, na kama una kampuni unataka wafanyakazi wako wapewe ujuzi zaidi kwenye nyanja hii unakaribishwa pia.
Karibuni sana
 
Nahitaji SAP BPC
Version 10.1
Nimeona India wanauza kwa dola 2000
Nipo leave kwa kipindi hiki , ila ningeweza kukusaidia notes zote za hiyo bpc. Kipindi flani tuliwahi fundishwa na Delloite ila mie sikuitilia maanani kwa sababu nilkuwa MM, na hiyo BPC ni sub ya FICO na bahadhi ya watu Wa Managerial level.
 
Asante sana ndugu "NYANYADO", nathan urejeapo toka mapumzikoni twaweza fanya kitu muhim. Tutafutane tunaliwekaje sawa hili kiongozi.
Asante na karibu sana.
call: 0717 718519 | 022 270 1320
send: training@comskills.co.tz
 
Asante sana ndugu "iikatseb",kuhusu ubest wa hizi accounting package inategemea sana na kazi ulizozifanya. Lkn cha kuangalia kiangalia ni kuwa Tally in both Acconts, inventory & Payroll kama package moja. Wakati QuickBook Payroll inanunuliwa tofauti.
Kwa maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina;
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Kabla sijawapigia naomba kujua mnapatikana wapi? Ratiba ya vipindi ipoje?
 
Back
Top Bottom