Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tally.....Naomba msaada kati ya tally na quick ipi ni the best
Asante sana ndugu "Malafyale" hicho kitu unachokiongelea kinaweza fanyika vizuri kwa kutumia SAP, na sijajua kama hii software unaitaji wewe au kampuni? na mwisho umemalizia mshahara ndo sijaelewa una maana gani nudgu?.Mm nahitaji mwenye kujua BPC in ERP app awasiliane na mm as soon as possible!
BPC stands for Budget Planning and Consolidation ambapo BW anakuletea data kwenye excel through ERP
Mm najua version 7 ya WN lkn naona wametoa version ya 10.1
Nani anayo hii version mpya?Hii mpya unaanzia Milion 12 mshahara
Mkuu we unaifahamu SAP vizuri, namaanisha MM, PM, FICO. Mie Nina uelewa kidogo na MM, hasa report zake, mfano, zmmhist, zmmm01, mb51,mb52, zmmmoaupload, Migogr 101,107,109. Me2m,me2n, me21n,23,22, me47. Nikihitaji kujifunza mfano PM mnaweza kunielekeza.Asante sana ndugu "Malafyale" hicho kitu unachokiongelea kinaweza fanyika vizuri kwa kutumia SAP, na sijajua kama hii software unaitaji wewe au kampuni? na mwisho umemalizia mshahara ndo sijaelewa una maana gani nudgu?.
Tuwasiliane kwa maelezo mengine:
Call: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana.
Malafyale, kama sijakosea ERP packages zipo kama tano , yaani SAP, BAN, Oracle, JD , people soft. Hizo ndio kubwa, hapo na ndogo zipo mfano. Ms dynamic, mainpac, pronto, sun, emesa n.k.Mm nahitaji mwenye kujua BPC in ERP app awasiliane na mm as soon as possible!
BPC stands for Budget Planning and Consolidation ambapo BW anakuletea data kwenye excel through ERP
Mm najua version 7 ya WN lkn naona wametoa version ya 10.1
Nani anayo hii version mpya?Hii mpya unaanzia Milion 12 mshahara
Mkuu tuwasiliane, twaweza fanya kitu kikubwa baada ya hapa.Mkuu we unaifahamu SAP vizuri, namaanisha MM, PM, FICO. Mie Nina uelewa kidogo na MM, hasa report zake, mfano, zmmhist, zmmm01, mb51,mb52, zmmmoaupload, Migogr 101,107,109. Me2m,me2n, me21n,23,22, me47. Nikihitaji kujifunza mfano PM mnaweza kunielekeza.
Nahitaji SAP BPCMalafyale, kama sijakosea ERP packages zipo kama tano , yaani SAP, BAN, Oracle, JD , people soft. Hizo ndio kubwa, hapo na ndogo zipo mfano. Ms dynamic, mainpac, pronto, sun, emesa n.k.
ERP app ipi unayoimaanisha hapa.
Nipo leave kwa kipindi hiki , ila ningeweza kukusaidia notes zote za hiyo bpc. Kipindi flani tuliwahi fundishwa na Delloite ila mie sikuitilia maanani kwa sababu nilkuwa MM, na hiyo BPC ni sub ya FICO na bahadhi ya watu Wa Managerial level.Nahitaji SAP BPC
Version 10.1
Nimeona India wanauza kwa dola 2000
Nipo leave kwa kipindi hiki , ila ningeweza kukusaidia notes zote za hiyo bpc. Kipindi flani tuliwahi fundishwa na Delloite ila mie sikuitilia maanani kwa sababu nilkuwa MM, na hiyo BPC ni sub ya FICO na bahadhi ya watu Wa Managerial level.
Kuanzia tarehe 2 may, 2017. Nitakuwa Dar . nitakuchekiAsante sana ndugu "NYANYADO", nathan urejeapo toka mapumzikoni twaweza fanya kitu muhim. Tutafutane tunaliwekaje sawa hili kiongozi.
Asante na karibu sana.
call: 0717 718519 | 022 270 1320
send: training@comskills.co.tz
Kabla sijawapigia naomba kujua mnapatikana wapi? Ratiba ya vipindi ipoje?Asante sana ndugu "iikatseb",kuhusu ubest wa hizi accounting package inategemea sana na kazi ulizozifanya. Lkn cha kuangalia kiangalia ni kuwa Tally in both Acconts, inventory & Payroll kama package moja. Wakati QuickBook Payroll inanunuliwa tofauti.
Kwa maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina;
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz