Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Hapo umefanya vema kutoa contact zenu
Karibu sana mkuu,
ofisi zipo wazi kila siku kuanzia saa 11 asubuh na zinafungwa saa tatu na nusu usiku. Isipokuwa Jumapili, hufunguliwa saa nne asubuh na kufungwa saa mbili usiku.
Asante na karibu sana
 
Darasa la Tally limeanza,lakini muda upo ndani ya uwezo wako. Karibu sana
 
Darasa la Advanced Excel linaendelea, unaweza jiunga na kuongeza ufanisi kazini mwako.
Karibuni sana;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
 
New Ad.jpg
 
Madarasa mapya yametangazwa..waweza lipia sasa kuweka nafasi yako. Karibuni nyote.
Kwa lolote;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni sana.
Ongeza ujuzi, lete ufanisi.
 
Nina laki mbili na nusu Mkuu nije?
Asante ndugu "Miss Natafuta",kwa bei hiyo uliyonayo waweza kusoma
-Basic & Intermediate Excel for Professional
kwa hapa utapata ujuzi kwenye vitu hivi;
-Data Entry
- Simple Excel data manipulation
-Simple Analysis
- Simple Report
-Quality of the Data and how to protect it.
Hii ni kwa muda wa wiki moja - (10hrs-2hrs/day)
Bei: Tshs. 200,000/= tu!
Karibu sana,

Sitaki hyo mkuu
 
Madarasa mapya yametangazwa..waweza lipia sasa kuweka nafasi yako. Karibuni nyote.
Kwa lolote;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni sana.
Ongeza ujuzi, lete ufanisi
 
Kwa watu wa Public Adminstration in records kwenye package ya excel inakuwaje. Yani nasoma nin na nini
 
Back
Top Bottom